Ads (728x90)MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MBEYA IMEMHUKUMU KIFUNGO CHA MAISHA MWANAMKE WILINIVA MKANDARA KIFUNGO CHA MAISHA KUTOKANA NA KUMFANYIA KITENDO CHA KINYAMA MTOTO MDOGO ANETHY JOHANES AMBAYE HATIMAYE ALIKATWA MKONO WAKE WA KUSHOTO.

AWALI MWANAMKE HUYO ALIDAIWA KUTENDA MAKOSA HAYO NOVEMBA MWAKA JANA KATIKA MTAA WA MAJENGO AMBAPO ALIKUWA AKIMPIGA NA KUMTESA MTOTO HUYO AMBAPO MBALI NA MATESO ALIYOKUWA AKIMPA MTOTO HUYO ALIKUWA AKIMLAZIMISHA KULA KINYESI.

Post a Comment