Ads (728x90)


 Kamanda wa Polisi Mkoa Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi
Picha hizi kutoka mtandaoni hazihusiani na tukio la mkazi wa Mbeya anayeshikiliwa kwa kuwauzia watu nyama ya mbwa


MTU MMOJA AMEKAMATWA BAADA YA KUWAUZIA WATU NYAMA YA MBWA.



JESHI LA POLISI LINAMSHIKILIA AHADI JESIKAKA [20] MKAZI WA KIJIJI CHA NGYEKYE  KWA KOSA LA KUWAUZIA WATU NYAMA YA MBWA.



TUKIO HILO LIMETOKEA TAREHE 04.11.2014 MAJIRA YA SAA 13:45HRS HUKO KATIKA KIJIJI CHA NGYEKYE,KATA YA MATEMA,TARAFA YA NTEMBELA WILAYA YA KYELA MKOA WA MBEYA. WATU WALIOUZIWA NA KUTUMIA KITOWEO HICHO NI 1. ENOCK NSEMWA [52] MKAZI WA NGYEKYE 2. GEORGE NSEMWA [26],MKAZI WA NGYEKYE NA 3. ANYANDWILE MBWILO [29] MKAZI WA NGYEKYE.





KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHINA MSAIDIZI MWANDAMIZI WA POLISI AHMED Z. MSANGI ANATOA  WITO KWA JAMII KUWA MAKINI HUSUSANI WANAPONUNUA VYAKULA ILI KUJIEPUSHA NA MADHARA YA KIAFYA.



Imesainiwa na:

[ AHMED  Z. MSANGI – SACP ]

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

Post a Comment