Ads (728x90)

Viongozi wa serikali wa mikoa ya Mbeya na Songwe mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla na Mkuu wa mkoa wa Songwe Chiku Galawa na Katibu Tawala mkoa wa Mbeya Mariam Mtunguja wakiweka sawa taratibu na mipango ya msafara wa mwili wa marehemu Linah Mwakyembe katika Uwanja wa Kimataifa wa Songwe jijini Mbeya leo jioni.
Prof Mark Mwandosya akimfarihi Waziri wa Habari Utamduni Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Songwe kwa ajili ya kuelekea Kyela kwa mazishi ya Mke wa Dkt Mwakyembe Linah George Mwakyembe

Add caption


Mkuu wa Mkoa wa Songwe Luteni Mstaafu Chiku Galawa akimpa pole Dkt Mwakyembe mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Songwe leo jioni.
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Mbeya Bashiru Madodi akisalimiana na Waziri mstaafu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano Prof Mark Mwandosya mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Songwe leo jioni
MC Mashuhuri Charles Mwakipesile akiteta jambo na Dkt Mwakyembe mara baada ya kuwasili Uwanja wa Songwe leo jioni  
Gari iliyobeba mwili wa marehemu Linah George Mwakyembe likitoka katika lango kuu la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe baada ya kuwasili leo jioni.
Gari la Polisi likiongoza msafara uliobeba mwili wa marehemu Linah Mwakyembe kulekea wilayani Kyela kwa ajili ya mazishi kesho mchana
Msafara kuelekea Kyela kwa ajili ya mazishi ya mke wa Dkt Harrison Mwakyembe leo jioni


Post a Comment

  1. Permainan ini sudah tidak asing lagi bagi pemain judi Indonesia, dimana permainan ini sudah ada sejak lama bahkan sempat menjadi permainan yang legal pada zaman Bapak Pembangunan. Permainan togel ini adalah permainan menebak angka yang akan menjadi angka pengeluaran nantinya
    asikqq
    dewaqq
    sumoqq
    interqq
    pionpoker
    bandar ceme
    betgratis
    paito warna
    prediksi hk

    ReplyDelete