Endavyo nyuni mwituni, na kutambaa mitini, Rizikiye mdomoni,daima huithamini, Hujilia vya kondeni,vilivyosazwa na nyani, Kilio chake kide...
Fasihi(Kilio chake kidege)
Fasihi(Kilio chake kidege)
Burudika, Habarika, Elimika
Endavyo nyuni mwituni, na kutambaa mitini, Rizikiye mdomoni,daima huithamini, Hujilia vya kondeni,vilivyosazwa na nyani, Kilio chake kide...
Fasihi tunu adhimu, lugha njema kiswahili, Watumiao adimu, toka zama za awali, Hima enyi walimu,kuliangalia hili, Lugha hii kiswahili, za...
Nineneje nijivune,uneni naye Makene, Mtambaji wa karine,bloguni jivunia. Makene ni mtambaji, bloguni jivunia, Chakuvunia kipaji, fasihi...
Tamu ishindayo hamu, si tamu yenye ugumu, Ni tamu yenye nidhamu, iletayo balaghamu, Tamu ni tunu adhimu, na ladhaye ni adimu, Hizi ndo tu...