
Naam ni mwaka mmoja wa Mheshimiwa JK, nini mustakabali wa SIHASA hapa nchini kwetu, ndio mwanzo wa kuua vyama vya upinzani au ndio chachu ya...
Burudika, Habarika, Elimika
Naam ni mwaka mmoja wa Mheshimiwa JK, nini mustakabali wa SIHASA hapa nchini kwetu, ndio mwanzo wa kuua vyama vya upinzani au ndio chachu ya...
Nilitaka kusema, nikashikwa na kigugumizi lakini hata hivyo nilijikuta nasema ingawa nikashikwa mdomo na sheria ya kutoingilia mahakama, ba...
Nadhani tukio la hivi karibuni la Mwana wa 'Kukaya'Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 'JK' kulizungumzia suala la filam...
KISWAHILI ni miongoni mwa lugha zilizojichukulia sifa lukuki kwa makuzi yake katika nnnchi za Afrika mashariki, Afrika na ulimwengu kwa uju...
Swala linanitatiza, kisa cha mtema kuni, Ni lipi lilomkwaza, kwa kumtaja vinywani, Akatufanya kuwaza, mtema kuni ni nani, Kisa cha mtema kun...
KUNA jambo moja la kimila sijui ni la kidesturi za Kiafrika ama sijui ni ustaarabu wa watu wa ukanda fulani wa sehemu katika nchi yetu linan...
Bw. Makene hii ni sehemu ya kazi ambayo imenifanya niwe mvivu kupannndisha kazi za kishairi katika Blogu RASI YA DHULUMIKA-1. Na, Rashid Mk...
La Dodoma azimio, Makene limetulia, Lafaa kuwa zingatio,Bloguni kutumia, Tena liwe karipio, watakao vurugia, Azimio la Dodoma,liwe la wanaBl...
Hebu leo niingie kivingine katika kuchangia kilichojiri,kwani mambo mengine yanaumiza sana moyo,taarifa zilizoripotiwa katika vyombo vya hab...
Uzongwapo na mizongo,usitarazie zongo, Ikurubie mipango,uandaapo malengo, Uuepuke uongo,ulijenge bora jengo, Uzongwapo zongamana,ushikwapo s...
Nyembo wapaswa sikia,kilio utajutia, Wanchi kavu malenga,majini hupotelea, Huwezi mkondo fata,MKWINDA kisha kimbia, Katu sumu si mezani, ma...
Ukitumika vyema, itaongoka jamii, Ikiwa bora kusema,yako huyazingatii, Insi watajalalama,Kwa kuikosa shafii, Mdomo wata kunena,yaso yako kun...
Kama mjali, wa taa, maisha yalivyo, Ni muhali, kukaa, vivyo ulivyo, Kwa kila uwakavyo, huisha vivyo. Maisha kama tambara, bovu, liishavyo, H...
Lilo ndilo silo hilo, bali silo ndilo lilo, Lilipo hufanywa ndilo, ijapo silo si mlo, Lile hasa liliwalo,hutazamwa kwa malolo, N'lilo m...
Chachandu iliyochacha, si chachandu chachizi, Huuchachuza mchicha,na kuchachiza mchuzi, Huchuruza kwe'pakacha,churuzo ya uchirizi, HUCH...
TA, TE, TI, TO, TU. TA:Nataataa na tata,watatue watatuzi, Sitati kimtang'ata, kwa tata za utatizi, Nitatapo Kimvita,watatwao watatezi, M...