Ads (728x90)


Aprili 1888 Sultani wa Zanzibar alikodisha eneo la pwani kwa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki walioanzisha makao makuu yao Bagamoyo. Ukali wa kampuni ulisababisha katika muda wa wiki chache ghasia ya wenyeji wa pwani yaliyokuwa vita ya Abushiri ikakandamizwa na wanajeshi wa Ujerumani. Mwaka 1890 serikali ya Ujerumani ilichukua madaraka ya utawala badala ya kampuni halafu mji mkuu ukahamishwa Dar es Salaam.
Umuhimu wa Bagamoyo ilianza kupungua tena kwa sababu meli kubwa zilitumia bandari ya Daressalaam badala ya Bagamoyo.Chanzo www.wikipedia.org

Post a Comment