| Kikosi cha Timu ya wasichana cha Ibara Queen ya Uyole mara baada ya kujifua kwa ajili ya mpambano wao na Mbaspo |
| Washambuliaji mahiri wa Ibara Queen ya Uyole jijini Mbeya ambao wanatarajia kuonesha upinzani mkali kwa wachezaji wazoefu wa timu ya Mbaspo katika mchuano wa kesho |
Post a Comment