| Nyumba ya Mkuchika inawaka moto-Newala 
 Taarifa za
 redio mbao sasa  ni kwamba wananchi wanaendelea kufanya uharibifu 
mkubwa huko ambapo naambiwa wamevamia gereza wakafungulia wafungwa na 
kisha kupiga moto gereza. Polisi wamezidiwa na wamejifungia kituoni 
wanarusha mabomu yao tokea huko walikojificha maana nje hakutamaniki. Na
 wameshateketeza nyumba ya mama Anna Abdallah.
 
 Update:
 Kikao cha 
dharura cha kamati ya ulinzi na usalama kinaendelea kwa kuwashirikisha 
maafisa wa polisi na maafisa usalama waliotoka Dar es Salaam kuongezea 
nguvu.
 
 Maaskari na makachero wawasili  Mtwara leo asubuhi na helkopta kuongezea nguvu.
 
 Hosteli
 ya wanafunzi wa chuo cha Utumishi maeneo ya Kiyangu B Mtwara yakoswa 
koswa kuchomwa moto kwa kile kinachodhaniwa kuwa na uhusiano na Hawa 
Ghasia mpaka sasa wanafunzi hawana mahala pa kukaa.  Kituo kidogo cha 
Polisi Cha Shangani mkoani Mtwara nacho chakoswa na moto. Ofisi ya Afisa
 Mtendaji Nkanaledi mkoani Mtwara nayo yavunjwa.
 
 Wananchi
 wamechoma moto mahakama ya Mwanzo na kuvunja vioo vya nyumba za 
waheshimiwa Hawa Ghasia (Waziri, TAMISEMI) na ya Mohamed Sinani 
(Mwenyekiti wa CCM Mkoa) zilizopo mtaa wa Sinani.
 
 Wakiwa
 katika mahakama ya mwanzo, Polisi walizingirwa na vijana waliokuwa 
wamebeba mawe na kufunga barabara zote za kuingia na kutoka Kituo Kikuu 
cha Mabasi na eneo la Soko Kuu, licha ya kufyatua hewani mabomu ya 
machozi.
 
 Baadhi ya barabara za zimezibwa kwa kuchomwa matairi ya gari, na kuongeza hofu kwa wananchi.
 
 Hali
 imeshakuwa mbaya masasi taarifa zilizotufikia punde wamechoma eneo 
linaloitwa loliondo, ofisi za elimu na ofisi ya trafiki, inasemekana 
jamaa wameshavamia ofisi za halmashauri wengine wako njiani nyumbani kwa
 mama Ana Abdala, hapa Mtwara  mjini maduka yote eneo la soko kuu na 
stendi yamefungwa hakuna huduma, huko Newala , leo kuna mkutano mkubwa 
mchana huu wa kumkataa George Mkuchika.
 
 Vurugu
 zahamia wilaya ya Masasi mkoani Mtwara Nyumba ya Mbunge wa Masasi nayo 
yateketezwa kwa Moto hivi sasa...Madereva Bodaboda waandamana ...Vurugu 
zashamiri Mabomu Kibao..Hali ni tete
 Updates
 
Askari auawaKikao
 cha dharura cha kamati ya ulinzi na usalama kinaendelea kwa 
kuwashirikisha maafisa wa polisi na maafisa usalama waliotoka Dar es 
Salaam kuongezea nguvu.Maaskari
 na makachero wamewasili Mtwara leo asubuhi na helkopta kuongezea 
nguvu.Maaskari na makachero wawasili  Mtwara leo asubuhi na helkopta 
kuongezea nguvu.Hosteli
 ya wanafunzi wa chuo cha Utumishi maeneo ya Kiyangu B Mtwara yakoswa 
koswa kuchomwa moto kwa kile kinachodhaniwa kuwa na uhusiano na Hawa 
Ghasia mpaka sasa wanafunzi hawana mahala pa kukaa. Kituo
 kidogo cha Polisi Cha Shangani mkoani Mtwara nacho chakoswa na moto. 
Ofisi ya Afisa Mtendaji Nkanaledi mkoani Mtwara nayo yavunjwa.Wananchi
 wamechoma moto mahakama ya Mwanzo na kuvunja vioo vya nyumba za 
waheshimiwa Hawa Ghasia (Waziri, TAMISEMI) na ya Mohamed Sinani 
(Mwenyekiti wa CCM Mkoa) zilizopo mtaa wa Sinani.Wakiwa
 katika mahakama ya mwanzo, Polisi walizingirwa na vijana waliokuwa 
wamebeba mawe na kufunga barabara zote za kuingia na kutoka Kituo Kikuu 
cha Mabasi na eneo la Soko Kuu, licha ya kufyatua hewani mabomu ya 
machozi. Baadhi ya barabara za zimezibwa kwa kuchomwa matairi ya gari, na kuongeza hofu kwa wananchi.Hali 
imeshakuwa mbaya Masasi taarifa zilizotufikia punde wamechoma eneo 
linaloitwa loliondo, ofisi za elimu na ofisi ya trafiki, inasemekana 
jamaa wameshavamia ofisi za halmashauri wengine wako njiani nyumbani kwa
 mama Ana Abdala, hapa Mtwara  mjini maduka yote eneo la soko kuu na 
stendi yamefungwa hakuna huduma, huko Newala , leo kuna mkutano mkubwa 
mchana huu wa kumkataa George Mkuchika.Vurugu
 zahamia wilaya ya Masasi mkoani Mtwara Nyumba ya Mbunge wa Masasi nayo 
yateketezwa kwa Moto hivi sasa...Madereva Bodaboda waandamana ...Vurugu 
zashamiri Mabomu Kibao..Hali ni tete Na
 taarifa zaidi kutoka Masasi zinaeleza kuwa askari wa upelelezi Masasi 
aliyejichanganya katika vurugu wananchi walimshitukia akiwapiga picha, 
akashambuliwa na kuuliwa. Askari huyo inaelezwa amekutwa na bastola 
mbili. Taarifa zaidi baada ya kuthibitishwa tutawaletea.(KWA HISANI YA BLOG YA MTWARA KUMEKUCHA NA JUMA MTANDA)
 | 
Post a Comment