Ads (728x90)

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akimzawadia mmoja wa wafanyakazi bora kwenye kilele cha maadhimisho ya Mei Mosi uwanja wa Sokoine leo mchanaMkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akihutubia kwenye kilele cha siku ya wafanyakazi jijini Mbeya leo mchana

MKUU wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla leo amekuwa ni miongoni wa wafanyakazi walioshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Dei.

Katika maadhimisho hayo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Makalla amewataka wafanyakazi kuondoa hofu kwenye utendaji wao huku akitahadharisha kutomuonea mtumishi yeyote wakati wa ufuatiliaji wa utendaji kazi kwa uadilifu.

Aidha amewaahidi wafanyakazi kuzifanyia kazi changamoto zote zilizopo chini ya uwezo wake a,bazo zinazojitokeza mara kwa mara maeneo ya kazi...

Post a Comment