![]() |
| Eng. Thomas Crow akiwapa maelezo wahandisi wa TANROAD wa Mbeya na Rukwa juu ya maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kaengesa |
![]() |
| Daraja la Kaengesa lililopo km 30 kabla ya Sumbwanga mjini likiendelea kutengenezwa na kampuni ya Nicholas O' Dweyer |
![]() |
| Mafundi wakiendelea na ujenzi wa daraja la Kaengesa |












Post a Comment