Ads (728x90)

Msaka Nyoka alipita kila eneo na kila mahala, mtoni hadi vichakani hadi alipomnasa Nyoka huyo aliyekuwa akitishia usalama wa wakazi wa Jiji la Mbeya.

Mto Meta unaodaiwa Nyoka huyo aina ya Chatu kuwa makazi yake na familia yake.


Msaka Nyoka akiendelea na zoezi lake la kumsaka Chatu aliyetishia usalama wa wakazi wa Jiji la Mbeya

Msaka Nyoka na mwenzie wakiwa na Nyoka aliyekuwa anawatia hofu wakazi wa Jiji la Mbeya katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mbeya

Nyoka aina ya Chatu anayedaiwa kuwatia hofu wakazi wa Jiji la Mbeya baada ya kunaswa leo asubuhi

Post a Comment