Baadhi ya wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya Jiji la Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi mwakilishi wa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya |
Mkurugenzi wa Highland Fm Radio Jaquline Mwakyambiki akitoa nasaha kwa wanazuoni wa Vyuo vikuu vya Jijini Mbeya walioshiriki tamasha la Vyuo Vikuu katika ukumbi wa Chuo Kikuu Mzumbe |
Mmoja wa waratibu wa Tamasha la Vyuo Vikuu Joan Kiggundu akiwa karibu na keki iliyoandaliwa kwa ajili ya tamasha hilo |
Burudani mbalimbali zilisindikiza tamasha hili msanii mahiri Hafidh Malima maarufu kwa jina la Loyaloya akikonga nyoyo za mashabiki kwenye Tamasha hilo |
Loya Loya akitoa burudani kwa nyimbo za kizazi kipya |
Baadhi ya wanazuoni wa vyuo mbalimbali Jijini Mbeya wakiwa katika tamasha hilo |
Mkurugenzi wa Highland Fm Radio Jacquline Mwakyambiki,mgeni rasmi mwakilishi wa RPC Samora Salaga na baadhi ya wageni wengine wakiwa wamesimama kwa ajili ya uzinduzi wa tamasha hilo. |
Wanazuoni wa vyuo mbalimbali Jijini Mbeya wakishangilia tukio katika tamasha hilo |
Mkurugenzi wa Highland Fm Radio Jacquline Mwakyambiki akichukua kipande cha keki ambacho alikinunua kwa sh.elfu 30 kuchangia uendelezaji wa matamasha aina hiyo katika vyuo vikuu nchini. |
Mwakilishi wa Kamanda wa polisi mkoa wa Mbeya Samora Salaga akitoa nasaha kwa wanazuoni wa vyuo Vikuu waliohudhuria katika tamasha hilo |
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mzumbe John Steven akiendesha Quiz kwa wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Mzumbe na MUST, Mzumbe walishinda maswali kwa Point 10 dhdi ya point 3 za MUST |
Mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo Kikuu cha Mzumbe Nickson Barack ambaye ameandika vitabu viwili vya "Art to Heart na Kalamu ya Profesa'' akitoa ufafanuzi juu ya uandishi wa vitabu vyake |
Mwandishi wa Vitabu Dishon Barack akionesha moja ya kazi zake za Uandishi |
Mkurugenzi wa Highland Fm Radio Jacquline Mwakyambiki akitoa nasaha |
Washiriki wa Quiz kutoka Chuo Kikuu cha Mbeya(MUST) na Chuo Kikuu cha Mzumbe Mbeya Campus |
Post a Comment