| (Mabaunsa wa Wanahabari walikuwa makini kuhakikisa kuwa hakuna rabsha inayotokea) |
| (Hata Kijijini watu waliweza kuchat wakiwa ndani ya mahema yao) |
| (Tumekuwa tukikutana na wananchi wenye shida mbalimbali hasa akina mama) |
| (Wengine walitumia fursa hii kutoa neno la Mungu wakati wa safari ya kurejea mjini) |
| (Walilazimika kuvaa uhusika wa maisha ya watu wa Vijijini wanaofanya umachinga) |
Duh lakini huo umbali ulioweka hapo naona umekosa sana tu...Chunya - Mbeya mjini ni km 3000? Please please please ....
ReplyDeleteSISI HATUKUWA CHUNYA TULIKUWA LUPA TINGATINGA AMBAYO IKO WILAYANI CHUNYA NI MPAKANI MWA WILAYA YA CHUNYA NA MKOA WA TABORA
ReplyDelete