KWA HUDUMA SAFI ZENYE UHAKIKA KATIKA KUIMARISHA MENO IMARA YENYE NGUVU NA SAFI AGA KHAN DENTAL
CLINIC NDIYO JIBU LAKO.
KLINIKI IPO NDANI YA HOSPITALI YA AGA KHAN JIJINI MBEYA MKABALA
NA OFISI ZA POSTA UHINDINI UTAKUTANA NA DAKTARI MAHIRI WA MENO ISRAEL
MWAMPONDELE AMBAYE NI MBIA WA AGA KHAN KATIKA UTOAJI WA HUDUMA HIZO.
HUDUMA ZITOLEWAZO NI KUCHUNGUZA MENO,KUSAFISHA ILI KUONDOA
HARUFU NA KUTOA DAMU, KUZIBA,NA KUWEKA MENO MAPYA YENYE NGUVU NA IMARA AMBAYO
HUWEZI KUYATOA WAKATI WA KULA CHAKULA.
UNAWEEZAA KUTUMIA MENO HAYO KWA KUTAFUNIA KITU CHOCHOTE
KIGUMU BILA KUYAONDOA.
KWA MAWASILIANO MUONE DKT MWAMPONDELE KWA
MAWASILIANO YA SIMU NAMBA 0755 765328,0719 908419
Its a great pleasure reading your post.Its full of information I am looking for and I love to post a comment that "The content of your post is awesome" Great work. dental implants London
ReplyDeleteJee huduma ya teeth whitening pia inapatikana na gharama zake zipoje au ukiwa na NHIF inatosha?
ReplyDelete