| Bomba lipo lakini halitoi maji miaka 20 sasa |
| Wananchi wanalazimika kunywa maji ya kisima kilichochimbwa kwenye chemichemi |
| Matumizi ya maji hayo ni kunywa kuoshea vyombo na kupikia majumbani |
| Watu wazima na watoto hutumia maji hayo bila kujali afya zao |
| Hali ndio kama ilivyo watoto huogeshwa na wanafurahia maji hayo ambayo hutumiwa pia na wanyama kama vile Nguruwe na Ng'ombe |
| Watoto huogeshwa maji kama yanavyoonekana hayana sifa ya kuoga bali kwa sababu ya a matatizo na shida hutumiwa hivyo hivyo |
Post a Comment