Ads (728x90)


Rais Jakaya Kikwete

Waziri Mkuu Mizengo Pinda

                                   STORI NA RASHID MKWINDA
RAIS Jakaya Kikwete leo ameteua Wakuu wa wilaya 133 wakiwemo wanahabari 7 ambapo kati yao wakuu wa wilaya wapya ni 70 na wakuu wa wilaya 51 wameachwa katika uteuzi huo.
Akitangaza uteuzi huo kwa niaba ya Rais Kikwete,Waziri Mkuu Bw. Mizengo Pinda aliwataja wakuu wa wilaya hao kuwa ni,Novatus Makunga-Hai,Mboni M. Mgaza-Mkinga,Hanifa M. Selungu-Sikonge,Christine S. Mndeme-Hanang,Shaibu I. Ndemanga-Mwanga,Chrispin T. Meela-Rungwe,Dr. Nasoro Ali Hamidi-Lindi.

Farida S. Mgomi-Masasi,Jeremba D. Munasa-Arumeru,Majid Hemed Mwanga-Lushoto,Mrisho Gambo-Korogwe,Elias C. J. Tarimo-Kilosa,Alfred E. Msovella-Kiteto,Dkt. Leticia M. Warioba-Iringa,Dkt. Michael Yunia Kadeghe-Mbozi,Mrs. Karen Yunus-Sengerema,Hassan E. Masala-Kilombero,Bituni A. Msangi-Nzega.

Ephraem Mfingi Mmbaga-Liwale,Antony J. Mtaka-Mvomero,Herman Clement Kapufi,Same,Magareth Esther Malenga-Kyela,Chande Bakari Nalicho-Tunduru,Fatuma H. Toufiq-Manyoni,Seleman Liwowa-Kilindi,Josephine R. Matiro-Makete,Gerald J. Guninita-Kilolo.

Senyi S. Ngaga-Mbinga,Mary Tesha-Ukerewe,Rodrick Mpogolo-Chato,Christopher Magala-Newala,Paza T. Mwamlima-Mpanda,.Richard Mbeho-Biharamulo,Jacqueline Liana-Magu,Joshua Mirumbe-Bunda,Constantine J. Kanyasu-Ngara,Yahya E. Nawanda-Iramba,Ulega H. Abadallah-Kilwa,Paul Mzindakaya-Busega (mpya).

Festo Kiswaga-Nanyumbu,Wilman Kapenjama Ndile-Mtwara,Joseph Joseph Mkirikiti-Songea,Ponsiano Nyami-Tandahimba,Elibariki Immanuel Kingu-Kisarawe,Suleiman O. Kumchaya-Tabora,Dkt. Charles O. F. Mlingwa-Siha,Manju Msambya-Ikungi (mpya),Omar S. Kwaangw’-Kondoa,Venance M. Mwamoto-Kibondo.

Benson Mpesya-Kahama,Daudi Felix Ntibenda-Karatu,Ramadhani A. Maneno-Kigoma,Sauda S. Mtondoo-Rufiji,Gulamhusein Kifu-Mbarali,Esterina Kilasi-Wanging’ombe (mpya),Subira Mgalu-Muheza,Martha Umbula-Kongwa,Rosemary Kirigini-Meatu,Agness Hokororo-Ruangwa,Regina Chonjo –Nachingwea.

Ahmed R. Kipozi-Bagamoyo,Wilson Elisha Nkhambaku-Kishapu,Amani K. Mwenegoha-Bukombe,Hafsa M. Mtasiwa-Pangani,Rosemary Staki Senyamule-Ileje,Selemani Mzee Selemani-Kwimba,Lt. Col. Ngemela E. Lubinga-Mlele (mpya),Iddi Kimanta-Nkasi,Muhingo Rweyemamu –Handeni,Lucy Mayenga-Uyui.

Wengine ni,1.James K. O. Millya-Longido,Mathew S. Sedoyeka-Sumbawanga,Fatuma L. Kimario-Igunga,Capt. (Mst.) James C. Yamungu-Serengeti,Lt. (Mst.) Abdallah A. Kihato-Maswa,Sarah Dumba-Njombe,
Jowika W. Kasunga-Monduli,Elizabeth C. Mkwasa-Bahi,Col. Issa E. Njiku-
Misenyi.
John B. Henjewele-Tarime,Elias W. Lali-Ngorongoro,Raymond H. Mushi-Ilala,
Francis Miti-Ulanga,Evarista N. Kalalu-Mufindi,Mariam S. Lugaila-Misungwi,
Anna J. Magowa-Urambo,Anatory K. Choya-Mbulu,Fatma Salum Ally-Chamwino,Deodatus L. Kinawiro-Chunya.

Ibrahim W. Marwa-Nyang’hwale (mpya),Dkt. Norman A. Sigalla-Mbeya,Moshi M. Chang’a-Mkalama (mpya),Jordan M. Rugimbana-Kinondoni,Georgina E. Bundala-Itilima (mpya),Halima M. Kihemba-Kibaha,Manzie O. Mangochie-Geita,
Abdula S. Lutavi-Namtumbo,Zipporah L. Pangani-Bukoba.
Dkt. Ibrahim H. Msengi-Moshi,Col. Cosmas Kayombo-Kakonko (mpya),Lembris M. Kipuyo-Muleba,Elinasi A. Pallangyo-Rombo,Queen M. Mlozi-Singida,Juma S. Madaha-Ludewa,Angelina Mabula-Butiama (mpya)Hadija H. Nyembo-Uvinza (mpya),Ernest N. Kahindi-Nyasa (mpya),Peter T. Kiroya-Simanjiro.
John V. K. Mongella-Arusha,Baraka M. Konisaga-Nyamagana,Husna Mwilima-Mbogwe (mpya),Sophia E. Mjema-Temeke,Francis Isaac-Chemba (mpya),Abihudi M. Saideya-Momba (mpya),Khalid J. Mandia-Babati,Anna Rose Nyamubi-Shinyanga,Dani B. Makanga-Kasulu,Amina J. Masenza-Ilemela.
Mercy E. Silla-Mkuranga,Christopher R. Kangoye-Mpwapwa,Lt. Edward O. Lenga-Kalambo (mpya),Halima O. Dendego-Tanga,Lephy B. Gembe-Dodoma,
Saidi A. Amanzi-Morogoro,Jackson W. Msome-Musoma,Elias C. B. Goroi-Rorya,
Lt. Col. Benedict Kitenga-Kyerwa (mpya),Erasto Sima-Bariadi.
Nurdin H. Babu-Mafia,Khanifa M. Karamagi-Gairo (mpya),Gishuli M. Charles-
Buhigwe (mpya),Saveli M. Maketta-Kaliua (mpya),Darry Rwegasira-Karagwe.

Post a Comment

  1. Rais ameangalia nini kumteua Rosemary Staki. Huyu si yule aliyevunja ndoa ya mwanadada mmoja huko Iringa? lakini pia si aliwahi kufukuzwa kazi VETA kwa ubadhilifu wa fedha? Wanajifunza nini ilhali Mkuu wa wilaya atakayetakiwa kufungisha ndoa anaishi na mume wa mtu, tena kwa kuvunja ndoa ya Kikristo? jamani!

    ReplyDelete