Ads (728x90)

Kituo cha Polisi Mbozi kilichopo Vwawa ambacho Sajent Patrick anadaiwa kujipiga risasi usiku wa manane kuamkia leo

Sajenti Patrick Kondwa(54) anayedaiwa kujiua kwa kujipiga risasi ndani ya kituo cha Polisi Vwawa Mbozi

Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika Kota za Polisi Vwawa nyumbani kwa marehemu Sajent Patrick leo mchana


Habari kamili juu ya tukio zima la kujiua kwa Sajenti Patrick Kongwa zitakujia hapa hapa...endelea kufuatilia....

Post a Comment