Ads (728x90)

 Meneja Mauzo na Ufundi wa Lafarge Tanzania, Emil Sindato akitoa mafunzo kwa wafyatuaji matofali wa mkoa wa Mbeya kuhusu matumizi sahihi ya na namna ya kuchanganya saruji ya Supaset ambayo ni mahususi kwa ufyatuaji matofali na zege ili kupata matokeo mazuri hasa uimara wa majengo na kuweza kuata faida kibiashara. Mafunzo hayo yalifanyika mwishoni mwa wiki jijini Mbeya. (Na Mpiga Picha Wetu)
The Lafarge Tanzania Technical Sales Manager, Emil Sindato conducts training to Mbeya region precasters on correct usage of the Supaset, a higher strength cement for block making and concrete to produce long lasting structures and maximise profit. The training was conducted over the weekend in Mbeya. (Photo: Our Staff Photographer)

Post a Comment