Ads (728x90)

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa akiangalia ramani ya shule ya Gamaliel

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munassa akivikwa shada kabla ya kuanza ziara ya kuitemnbelea shule ya The Gamaliel ilipofanya mahafali ya wanafunzi kuingia darasa la kwanza

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akisalimiana na viongozi wa kimila wa maeneo ya Lyoto ilipo shule ya Gamaliel


DC Munasa akiweka saini kwenye kitabu cha wageni cha shule ya Gamaliel kabla ya kuanza kwa sherehe za mahafali ya darasa la kwanza la shule hiyo
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Gamaliel wakishangilia kwa kupiga makofi kwenye mahafali ya shule hiyo mwishoni mwa wiki.

Wahitimu wa shule ya awali wanaotarajia kuingia darasa la kwanza kwenye shule ya Gamaliel

Mkuu wa wilaya ya Mbeya Nyirembe Munasa akiteta jambo na Mkurugenzi wa shule ya Gamaliel

Baadhi ya wanafunzi wa darasa la tatu wa shule ya Gamaliel wakiimba wimbo kwenye mahafali ya wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza mwishoni mwa wiki
Post a Comment