Ads (728x90)


Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli,nachukua fursa hii kwa heshima na taadhima kutumia Kifungu namba 18 cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichopitishwa na sheria mwaka 1984, Na.15 ibara ya 6.(UHURU WA MAONI)
Kifungu namba 18-(1)
Bila kuathiri sheria za nchi, mtu yoyote yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake na kutafuta kupokea na kutoa habari na dhana zozote kupitia chombo chochote bila kujali mipaka ya nchi na pia ana uhuru wa mawasiliano yake kutoingiliwa kati.
Kifungu 18-(2) Kila raia anayo haki ya kupewa taarifa wakati wote kuhusu matukio mbalimbali nchini na duniani kote ambayo ni muhimu kwa maisha na shughuli za wananchi na pia juu ya masuala muhimu ya jamii. Napenda kutoa maoni yangu kuhusu Muundo wa Baraza la Mawaziri kama ifuatavyo;
(i)-WIZARA 5 CHINI YA OFISI YA RAIS
1.Waziri wa Fedha, Nishati na Madini
2.Waziri Ofisi ya Rais Kazi Maalumu/Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa/Sheria
3.Waziri wa Miundo Mbinu/Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi.
4.Waziri wa Viwanda na Biashara
5.Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
(ii)-WIZARA 5 CHINI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
1.Waziri wa Mazingira,Utalii na Uwekezaji
2.Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji , Chakula na Ushirika.
3.Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
4.Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama wa Raia
5. Waziri ya Mifugo Uvuvi na Nyuki
(iii)-WIZARA 5 CHINI YA OFISI YA WAZIRI MKUU
1.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia
2.Waziri wa Habari,Utamaduni na  Mahusiano ya Jamii
3.Waziri wa Kazi,Ajira na Vijana
4.Waziri Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
5. Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serkali za Mitaa(TAMISEMI)
(iv)-MANAIBU WAZIRI 6
1.Naibu Waziri, Wizara ya Miundo Mbinu/Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi
2. Naibu Waziri,Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
3. Naibu Waziri, Kilimo na Umwagiliaji, Chakula na Ushirika.
4. Naibu Waziri, Elimu, Sayansi na Teknolojia
5.Naibu, Waziri Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto

NASISITIZA HAYA NI MAONI YANGU BINAFSI NIMETUMIA UHURU WANGU KWA  MUJIBU WA KATIBA

Post a Comment

 1. PROMO DELIMA
  poker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya

  Bonus yang kami sediakan :
  * TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
  * Bonus referal sebesar 10%

  Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
  Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
  Come join and be a winer with us !!

  Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
  Livechat_____: delimapoker
  BBM__________: 7B960959
  Facebook_____: Facebook
  Phone number_: +85595678845

  ReplyDelete