#Muswada wa Sheria ya Upatikanaji wa
Taarifa utasaidia kuongeza uwajibikaji katika kutoa taarifa juu ya miradi ya
maendeleo katika eneo husika.
#Sheria hii itaondoa urasimu wa utoaji wa
taarifa katika ofisi za umma.
# Muswada huu unakidhi matakwa ya Katiba ya haki na wajibu kwa wananchi
kupata taarifa.
#Muswada huu haukusudii kuficha taarifa zinazohitajika na mtafuta taarifa.
# Muswada huu utasaidia kuwa na utaratibu maalumu wa wananchi kupata
taarifa.
# Muswada huu hauzuii haki ya mwananchi yeyote kupata taarifa kwa njia
tofauti.
#Muswada huu unaongeza wigo kwa *waandishi wa habari* kwani nao wanahaki ya
kupata taarifa.
#Muswada huu unalenga kupanua wigo wa upatikanaji taarifa ili kutekeleza
matakwa ya Katiba.
*Imeandaliwa na Idara ya Habari-MAELEZO*
*Dodoma*
*Dodoma*
PROMO DELIMA
ReplyDeletepoker online | Agen Domino | Agen Poker|Kumpulan Poker | bandar poker | Judi Poker | bandar qiu | Judi online terpercaya
Bonus yang kami sediakan :
* TO (Turn over) sebesar 0.3% yang akan di kami bagikan setiap hari senin
* Bonus referal sebesar 10%
Ayo segera daftarkan diri anda dan bergabunglah bersama kami !!
Delimapoker.com Situs Agen Poker Online Terpercaya di Indonesia akan melayani Anda dengan profesional, memproses depo/wd dgn cepat.
Come join and be a winer with us !!
Untuk info selanjutnya silakan chat ke :
Livechat_____: delimapoker
BBM__________: 7B960959
Facebook_____: Facebook
Phone number_: +85595678845