WARSHA
YA UANDISHI WA MISWADA YA FILAMU/SCREENPLAY WORKSHOP(Level 1)
Je ?unajua kuwa hadithi za Filamu zozote hujengwa kwa
wahusika, wahusika ndiyo wabeba lengo zima la filamu? Je wajua jinsi ya kuwajenga
wahusika wako ili waweze kubeba lengo la hadithi ya Filamu kiufasaha? je unajua kuwa ukikosea kumjenga mhusika mkuu katika hadithi ya Filamu yako nivigumuhadithiya Filamu
bora? basi ukitaka kuyajua yote haya karibu katika warsha ya uandishi wa miswada ya filamu
pale IDARA YA SANAA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM Kuanziatarehe 13-15
Februari2012 ,Kutakuwa na Warsha ya Uandishi wa Miswaada ya Filamu/Screenplay
Workshop(Level 1) , Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonesho, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
kila siku kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 8 mchana , Cheti cha
Ushiriki kitatolewa mwishoni mwa mafunzo.
Warsha itakuwa kwa Kiswahili (naKiingerezaikibidi) na mshirikianawezakuwamtu yoyote anayependakuandikamiswadayafilamu
(amateur scriptwriter) au mwandishi anayechipukia (upcoming scriptwriter)
Hima wadau wote wa Tasnia ya Filamu ,Sanaa,
Sanaa za MaonyeshonaUandishiwa ubunifu msikose nafasi hii muhimu ya warsha mafunzo daraja
la kwanza ili kujijengea misingi mizuri ya Uandishi wa Miswaada ya Filamu
Kwa maelezo zaidi kuhusiana na warsha hii tafadhali wasiliana na IDARA
YA SANAA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ,Ndg.JohnMwakilamaSimuNamba0714 13 22 49,
nabaruapepe :mwakilamajohn@yahoo.com
Post a Comment