Ads (728x90)

MBUNGE WA KAWE HALIMA MDEE AKIPIGWA UPARA TAYARI KWA KUANZA MAFUNZO MAALUMU YA JKT KWA WAHESHIMIWA WABUNGE


KUTOKA KUSHOTO HALIMA MDEE,ESTHER BULAYA NA NEEMA HAMID NI KAMA VILE WANASEMA ''SIJUI KWA NINI TULIKUJA HUKU HAKUNA LIPSTICK WALA WEAVING!!!


ESTHER!!!, KIMBIA TARATIBU MWENZIO KIFUA KINABANA!! NI KAMA VILE NEEMA ANAMWELEZA MHESHIMWA BULAYA

KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS
BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO LILIAZIMIA KUWAPELEKA WABUNGE WAKE KATIKA MAFUNZO YA JESHI LA KUJENGA TAIFA JKT KWA NIA YA KUWAJENGEA UZALENDO NA UKAKAMAVU
,WABUNGE KADHAA HUSUSANI VIJANA WALIJITOKEZA KUJIUNGA NA JESHI HILO KWA HIARI AMBAKO HUKO WALIKUTANA NA DHARUBA ZA KIJESHI. WABUNGE HAO MARA WALIPOFIKA KAMBINI WALIKARIBISHWA KWA KUNYOLEWA NYWELE ZAO, WENGINE WALIKUWA NA RASTA,
 NA BAADHI YAO WALIKUWA WAMETENGENEZA NYWELE ZAO KWA GHARAMA KUBWA, LAKINI WALICHOKUTANA NACHO HUKU HAWAKUKITARAJIA,
 MARA BAADA YA KUNYOLEWA NYWELE WOTE WALIPELEKWA KUPIMWA MAAMBUKIZI YA UKIMWI, TENA BILA HATA KUPEWA USHAURI HALI AMBAYO ILILETA TAHARUKI BAINA YAO KWANI WENGI WAO WALIKUWA WAMEPIMA UKIMWI KATI YA MWAKA MMOJA NA MIEZI KADHAA ILIYOPITA HIVYO KUWAJENGEA HOFU.
HATA HIVYO KUPATA KWAO MAFUNZO KUMEWASAIDIA NA KUWAJENGEA UZALENDO NA NCHI YAO NA HATA KUWA WAKAKAMAVU. 


Post a Comment