| MTOTO Joseph Dotto(14) AKITOLEWA KATIKA CHASES YA BUS LA KAMPUNI YA MOHAMED TRANS LENYE NAMBA ZA USAJILI T 433 BNG KATIKA STENDI YA MABASI YA MJINI DODOMA. |
| MTOTO JOSEPH AKIZONGWA NA BAADHI YA WAPIGA DEBE WA STENDI KUU YA DODOMA HUKU WENGINE WAKIMSIFIA KWA UJASIRI WAKE WA KUSAFIRI CHINI YA MVUNGU WA BASI HILO KWA UMBALI MREFU |
| MTOTO JOSEPH DOTTO ALIYESAFIRI CHINI YA CHASES YA BASI KUTOKA DAR HADI DOM |
| NI KAMA ANAAMBIWA HIVI:,'' WEWE NI KAMANDA HAKUNA MWENYE UWEO KAMA WAKO KUSAFIRI CHINI YA MVUNGU WA BASI'' |
| HIYO NDIYO LIFE DOGO GANGAMALA!!! |
| MTOTO JOSEPH DOTTO AKIKATIZA MITAA YA MJINI DODOMA MARA BAADA YA KUSHUKA KUTOKA KATIKA BASI HILO, SAFARI YAKE ILIKUWA NI KUELEKEA KAHAMA SHINYANGA AMBAKO NDIKO KIJIJINI |
| PAPARAZI DOTTO MWAIBALE AKICHUKUA MAWILI MATATU KUTOKA KWA DOGO HUYU AMBAYE ALIFANYA MAAJABU YA AINA YAKE KUSAFIRI CHINI YA MVUNGU WA GARI. |
Post a Comment