Waandishi wa habari wakiwa nje ya Ofisi ya Katibu Tawala mkoa wa Mbeya wakisubiri kuonana naye kwa ajili ya kuaga na kupata baraka za safari ya kuelekea nchini Malawi na Zambia. |
Katibu Tawala Msaidizi Leonard Magacha akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya |
Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Dkt. Samwel Lazaro akiagana na Waandishi wa Habari wa mkoa wa Mbeya ambao wanajiandaa kwa safari ya kuelekea nchini Malawi na Zambia |
Post a Comment