Ads (728x90)

Mume wa marehemu  Loveness Ndibalema, Ngemera Ndibalema akipita kwenye jeneza la mkewe wakati wa kuuaga mwili nyumbani kwake Forest jioni hii.Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro pamoja na Mkewe wakiweka shada la maua juu ya kaburi la Mama Ndibalema leo jioni.


Watoto wa kiume wa Mama Ndibalema wakiwema shada la maua juu ya kaburi la mama yao
Mama Mzazi wa Mama Ndibalema akiweka shada la maua juu ya kaburi la mwanayeMchezaji wa timu ya Prison akiwakilisha wachezaji wenzake kuweka shada la maua juu ya kaburi la Mama Ndibalema.

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akitoa salamu za rambirambi kwa niaba ya familia yake wakati wa maziko ya Mama Ndibalema.

Mtoto mkubwa wa marehemu Mama Ndibalema, Angela akiweka shada la maua kwenye kaburi la mama yake.


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi akiweka shada la maua juu ya kaburi la Mama Ndibalema leo jioni
Mchungaji wa kanisa la EAGT Athanas Kamili akiendesha ibada ya mazishi

Kiongozi wa Chama Cha Mapinduzi Charles Mwakipesile akiweka shada la maua kuwawakilisha CCM mkoa wa Mbeya.


Post a Comment