Ads (728x90)

Safari iliendelea na kupita Mikumi National Park kwa kusindikizwa na askari wa Wanyama Pori wa hifadhi ya Mikumi.Askari wa kituo cha Mikumi walipata fursa ya kuburudika kwa mbwembwe za uendeshaji wa Baiskeli kutoka kwa wapanda Baiskeli hao.

 
Walifika Morogoro na klupata fursa ya kuhojiwa na Kituo cha Televisheni ya Taifa TBC juu ya safari yao ya Kumpongeza Rais Kikwete kutimiza miaka 10 ya Uongozi wake.


Post a Comment