Ads (728x90)

Katibu wa CHADEMA (T) Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma katika ziara yake ya kuhamasisha wananchi wajitokeze kujiandikisha kura.

Baadhi ya walinzi wa CHADEMA Red Briged wakiwa wameweka ulinzi kwenye mkutano wa chama hicho mjini Tunduma wilayani Momba
Katibu Mwenezi wa CHADEMA mjini Tunduma Ayubu Sikagonamo akizungumza kabla ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Slaa hajaanza kuzungumza kwenye mkutano wa hadhara wa kuhamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kupiga kura.
 


Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwachemba 'China'akizungumza na wakazi wa mji wa Tunduma.Post a Comment