Ads (728x90)

Eneo la Kabwe jiji la Mbeya lilivyokuwa jana asubuhi baada ya kundi la wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga kuchoma moto matairi na kurusha mawe baada ya Halmashauri ya Jiji kubomoa vibanda vyao.


Askari polisi akisaidiana na baadhi ya wananchi kuondoa  mawe na majivu ya moto kwenye barabara kuu ya Tanznaia Zambia eneo la Kabwe jijini Mbeya
Add caption
Add caption

Askari polisi wakivinjari eneo ambalo jana iliibuka vurugu kwa wamachinga kuweka mawe barabarani na kuchoma moto matairi baada ya vibanda vyao vya biashara kuvunjwa

Baadhi ya machinga wakiwa katika makundi wakilalamikia kitendo cha kuvunjiwa vibanda vyao

Mwenyekiti wa Usafi wa  la Soko la Sido Philiston Mwasomola akielezea madhara waliyopata kutokana na wafanyabiashara kuvunjiwa vibanda vyao


Baadhi ya vyakula vilivyotupwa na kumwagwa wakati wa ubomoaji uliofanywa usiku wa manane na kuathiri wamachinga ambao walipata hasira na kuanza kuchoma matairi na kurushia mawe magari ya polisi na zimamoto

Post a Comment