Ads (728x90)

Waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI) wakiwa wamebarizi kwenye ufukwe wa Kigamboni uliopo mjini Makambako mkoani Njombe walipoenda kutembelea eneo hilo la kipekee la utalii nchini

Wanatajati wakiangalia mandhari ya Suprise Beach iliyopo Makambako

Wanahabari Christopher NYENYEMBE na Brandy Nelson wakiwa ndani ya Bahari wakivuka na boti kutokea Kigamboni Jijini Dar es Salaam mandhari hii iko Makambako mkoani Njombe katika Beach maarufu ijulikanayo kwa jina la Suprise
Mkurugenzi wa Star Intergrated ya Makambako mkoani Njombe inayomiliki Suprise Beach Mr Kyando akizungumza na na waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji (TAJATI) waliotembelea Ufukwe wa Surprise mwishoni mwa wiki (kulia)Makamu Mwenyekiti wa TAJATI Christopher Nyenyembe
,
Waandishi wa habari za Utalii na uwekezaji Tanzania(TAJATI)wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Star Intergrated Mr Kyando, kutoka kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mahusiano wa TAJATI Felix Mwakyembe,Katibu Mkuu wa TAJATI Venance Matinya,Mweka hazina wa TAJATI Brandy Nelson,Makamu Mwenyekiti wa TAJATI Christopher Nyenyembe na Mratibu wa TAJATI mkoa wa Njombe Mercy Sekabogo

Mfano wa Mlima Kilimanjaro uliopo kwenye kivutio cha Utalii cha Suprise Beach Makambo mkoani Njombe

Waandishi wa habari za Utalii na Uwekezaji wakiendelea kutembelea maeneo mbalimbali ya utalii ndani ya Suprise Beach iliyopo Makambako mkoani Njombe


WanaTAJATI wakiwa kwenye UFUKWE wa Suprise Makambako mkoani Njombe

Post a Comment

  1. Nimefurahi kuona mandari hii na nimejikuta nipo katika eneo hilo..swali langu hilo eneo lipo sehemu gani hapo Makambako?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Lipo karibu na eneo maarufu la kuchimba Dawa pale Makambako kama unatoka Dar lipo upande wa kushoto kiasi cha mita 300 kutoka barabara kuu, eneo hilo zamani lilikuwa linaharibiwa kwa mazzingira kwa uchimbaji wa mchanga, jamaa kaboresha na kuweka uwekezaji ambao umekuwa ni kivutio cha utalii

      Delete