Ads (728x90)




Waandishi wa habari watatu Ben Kiko, Edda Sanga, Phiri Karashani wameteuliwa kuwania tuzo ya  waandishi mahiri waliofanikiwa nchini.
Kwa mujibu wa Katibu wa Baraza la Habari MCT, Kajubi Mukajanga ni kwamba waandishi hao nguli wamejizolea sifa na walifanya kazi kwa umahiri na hata kuburudisha wasikilizaji wakati wakitangaza.
Waandishi hao pamoja na wandishi wengine wameingia katika mchakato wa kuteua waandishi mahiri waliojitokeza kuwania tuzo ya umahiri ya Ejaat inayotolewa na Baraza la Habari Nchini MCT.

Post a Comment