Ads (728x90)

Kikosi cha Timu ya wasichana cha Ibara Queen ya Uyole mara baada ya kujifua kwa ajili ya mpambano wao na Mbaspo

Wachezaji wa Timu ya wasichana wa Ibara Queen ya Uyole wakisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Timu hiyo Sambwee Shitambala mara baada ya mazoezi makali kwa ajili ya maandalizi ya mpambano wa kiafiki na timu ya Mbaspo, mpambano huo utafanyika kesho Jumamosi katika uwanja wa Uyole ya Kati jijini Mbeya

Washambuliaji mahiri wa Ibara Queen ya Uyole jijini Mbeya ambao wanatarajia kuonesha upinzani mkali kwa wachezaji wazoefu wa timu ya Mbaspo katika mchuano wa kesho

Post a Comment