Ads (728x90)

Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Louis Chomboko akipima Shiniko la Damu wakati wa uzinduzi wa wiki ya NSSF Jijini Mbeya,NSSF imedhmini vifaa vya vipimo kwa ajili ya matibabu kwa Chama cha Waganga wa Hospitali Binafsi (APHFTA)

Dkt.Chomboko ambaye alikuwa Mgeni raasmi katika uzinduzi wa upimaji wa hiari katika viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya akipima uzito na urefu wakati wa uzinduzi wa zoezi la upimaji wa bure uliodhaminiwa na NSSF.

Baadhi wa wakazi wa Jiji la Mbeya wakisubiri kupata huduma za upimaji wa afya uliodhaminiwa na NSF katika viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya

Mkazi wa Jijini Mbeya (kushoto)akisikiliza ushauri kutoka kwa Daktari aliyekuwa aklimhudumia katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe.

Mwanafasihi wetu aliyewakilishi Blog hii katika matukio ya NSSF akipata maelekezo ya upimaji afya kwa hiari katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya

Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF Bi.Theopista Muheta, Mwanafasihi wetu na Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa Dkt.Chomboko wakijadiliana baadhi ya mambo katika Viwanja vya Ruanda Nzovwe jijini Mbeya.

Ofisa Uhusiano wa NSSF Bi. Mheta,Meneja Mafao ya matibabu wa NSSF Ali Mtulia,Kaimu Mganga mkuu wa Mkoa Mbeya  Dkt. Chomboko na....
Meneja wa NSSF wilaya ya Mbozi akitoa huduma za kujiunga na NSSF katika viwanja vya mjini Vwawa wilayani Mbozi.

Wakazi wa wilaya ya Mbozi mjini Vwawa wakipatiwa huduma za upimaji kutoka kwa madaktari wa hospitali binafsi katika wiki ya Afya iliyodhaminiwa na NSSF.


Post a Comment