Hiki ni kijiwe cha watoto ama ni kazini? Rashid Mkwinda 4:36 PM A+ A- Print Email Duu!!! hawa watoto!!! sijui ndio wako katika pozi baada ya kufanya kibarua cha kubeba mawe au wamebarizi kupunga upepo!!! hapa ni katika kijiji cha Kasyabone kilichopo wilayani Rungwe.
Post a Comment