Ads (728x90)

WAKAZI WA KIJIJI CHA MSHANI WAKIFURAHIA BIA BAADA YA GARI LA BIA KUANGUKA
GARI LILILOBEBA BIA LIKIWA LIMEANGUKA 


 
 
Wakazi wa mjini Sumbawanga mkoani Rukwa mwishoni mwa wiki walijipatia dezo ya kunywa Bia za Ubwete baada ya gari lililokuwa limebeba sanduku za bia zenye pombe kuanguka.
 
Ajali hiyo imetokea majira ya saa tatu siku ya Jumamosi  ambapo gari hilo mali ya kampuni ya Kanji Lalji la mjini Mbeya lililokuwalimesheheni sanduku za chupa za bia zenye vileo kuanguka katika kijiji cha Mshani km 19 kutokea katika mji mdogo wa Laela.
 
STORI NA PICHA KWA HISANI YA MDAU WA BLOG YA KIMBUNGANET.BLOGSPOT.COM
 

Post a Comment