Ads (728x90)

M4c: Melerani simanjiro na kamanda lema, nassary, heche na makamanda wa arusha!

Leo makamanda wa Arusha tumewaliza magamba Kata ya Melerani jimbo la Olesendeka, ni ukweli usiopingika majimbo yanayoongozwa na wabunge wa magamba hayana maendeleo, Melerani yenye Tanzanite imechoka utafikiri ni wakata mkaa kumbe wana rasilimali pekee inayopatikana Melerani duniani mzima. Niliwaambia wananchi wa Melerani kama kuna watanzania wanapaswa kuwa na hasira na CCM wao wanapaswa kuwa wa kwanza, waoneshe mfano wa kuiadhibu CCM ili iwe na Adabu za rasilimali za watanzania
Click image for larger version. 

Name: 20121223_181602.jpg 
Views: N/A 
Size: 1.49 MB 
ID: 76461   Click image for larger version. 

Name: 20121223_181607.jpg 
Views: N/A 
Size: 1.76 MB 
ID: 76462   Click image for larger version. 

Name: 20121223_171819.jpg 
Views: N/A 
Size: 2.08 MB 
ID: 76463   Click image for larger version. 

Name: 20121223_181618.jpg 
Views: N/A 
Size: 1.48 MB 
ID: 76464  

Post a Comment