| MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRIPIN MEELA AKISAINI KITABU CHA WAGENI ALIPOTEMBELEA OFISI YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA |
| MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRIPIN MEELA AKIKARIBISHWA KATIKA OFISI YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA NA MWENYEKITI WA KAMATI YA MPITO YA KLABU HIYO BRANDY NELSON |
| ''KARIBU OFISINI KWETU MKUU!!! |
| ''TUNAPANDA GHOROFANI OFISI YETU INA CHUMBA KIMOJA'' |
| ILIFIKA MUDA WA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE KUTOA NENO LAKE KWA WANAHABARI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA FUPI KUTOKA KWA UONGOZI WA MBEYA PRESS |
| ''NAWASIHI MTEMBELEE WILAYANI KWETU RUNGWE TUNA MAMBO MENGI YA KIJAMII AMBAYO MNAWEZA KUIBUA NA KUIPATIA CHANGAMOTO SERIKALI'' |
| ''MNAJUA KUWA NINYI NI MUHIMILI WA NNE USIO RASMI, TUFANYE KAZI KWA PAMOJA ILI KULETA MAENDELEO YA TAIFA LETU'' |
MNAPOKUJA RUNGWE MSISITE KUNIPIGIA SIMU KUPATA UFAFANUZI WA MAMBO MBALIMBALI YA KIJAMII
Post a Comment