Ads (728x90)

BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI WA MKOA WA MBEYA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRIPIN MEELA KABLA YA KUANZA MKUTANO WA UCHAGUZI, BW. MEELA ALIENDESHA HARAMBEE YA KUCHANGIA SACCOS YA WANAHABARI AMBAPO ZILIPATIKANA JUMLA YA SH. MILIONI 2.2

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPIN MEELA AKITETA JAMBO NA VIONGOZI WA TUME YA UCHAGUZI WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI KABLA YA KUANZA MKUTANO WA UCHAGUZI


Post a Comment