| MJUMBE WA MKUTANO WA KLABU YA WAANDISHI MBEYA ANGELICA SULUSI NAYE AKICHANGIA HOJA YA KUTIMULIWA UANACHAMA KWA WALIOKUWA VIONGOZI WA KLABU HIYO BAADA YA KUBAINIKA KUWA WAMEFANYA UBADHIRIFU |
| MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA KLABU MBPC BRANDY NELSON AKIAINISHA JAMBO KATIKA VIFUNGU VYA KATIBA YA KLABU HIYO JUU YA UKOMO WA MWANACHAMA BAADA KUBAINIKA AMEKIUKA TARATIBU ZA UANACHAMA |
| MTUNZA HAZINA WA MUDA WA KAMATI YA MPITO WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA EMANUEL LENGWA AKIPONGEZWA NA WANACHAMA KWA KAZI NZURI YA RIPOTI YA KAMATI HIYO |
| MWENYEKITI WA KAMATI YA MUDA YA MPITO BRANDY NELSON AKIPONGEZWA NA WANACHAMA KWA KAZI NZURI YA RIPOTI YA KAMATI HIYO |
| MJUMBE WA MKUTANO WA KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA CHARLES MWAKIPESILE AKIMPONGEZA MWENYEKITI WA KAMATI YA MPITO WA KLABU HIYO KWA TAARIFA NZURI |
Post a Comment