Ads (728x90)

Maktaba ya Mkoa wa Mbeya
Jengo la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya ambalo lipo hatarini kubomoka kutokana na paa lake kuvuja
Paa la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya kama linavyoonekana pichani

Hii ndio hali halisi ya uchakavu wa jengo la Maktaba ya Mkoa wa Mbeya


Paa katika moja ya chumba cha maktaba ya mkoa linavyoonekana likiwa karibu na mfumo wa umeme
Hivi ndivyo lilivyo jengo la Maktaba ya mkoa wa Mbeya


Dari ya maktaba ya mkoa wa Mbeya jinsi lilivyooza kutokana na paa lake kuvuja

Kaimu Mkutubi wa Maktaba ya Mkoa wa Mbeya Frolence Mwambeso akimueleza Mwandishi wetu uchakavu wa jengo la maktaba ya mkoa ambalo linakaribia kufikisha miaka 40 tangu lijengwe

Chumba cha Kompyuta ambacho kilijaa maji ya mvua kutokana na jengo hilo kuvuja.
Baadhi ya vitabu vilivyoharibika kutokana na jengo hilo la Maktaba kuvujaBaadhi ya vitabu vilivyopo katika Maktaba ya mkoa wa Mbeya ambavyo viko hatarini kutokana na jengo hilo kuvuja kila inaponyesha mvua.
Sehemu ya Ukuta wa Maktaba hiyo ukilwa umelowa baada ya paa la jengo hilo la Maktaba ya Mkoa kuvuja wakati wa mvua.

Post a Comment