Ads (728x90)

wA
Wapenzi na mashabiki wa Mbeya City wa Tawi la Ilomba Mbeya wakati wa ufunguzi wa tawi lao leo jioni

Baadhi ya wapenzi na mashabiki wa timu ya Mbeya City wakifurahia jambo wakati wa uzinduzi wa tawi lao leo jioni
Mwenyekiti wa timu ya Mbeya City Mussa Mapunda akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi wa tawi la timu hiyo leo jioni

Mwenyekiti wa tawi la Mbeya City Mwanjelwa Willy Mastara akizungumza kwa niaba ya viongozi wa matawi wa timu hiyo wakati wa ufunguzi wa tawi

Mwenyekiti wa Timu ya Mbeya City Mussa Mapunda akifungua tawi la Ilomba

Baadhi ya wanachama wa tawi la Mbeya City Ilomba wakiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Klabu ya Mbeya City Mussa Mapunda baada ya uzinduzi wa tawi lao leo jioni.


Wanachama na wapenzi wa Timu ya Mbeya City wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa tawi la Ilomba leo jioni.

Post a Comment