![]() |
Majaji wakifuatilia kwa makini mashindano ya kusoma Koran kabla ya kupatikana washindi |
![]() |
Mgeni rasmi Shekh Said Jabir pamoja na baadhi ya maimamu wakifuatilia mashindano hayo |
![]() |
Majaji wakiwa kazini kumtafuta mshindi |
![]() |
Mgeni rasmi Shekhe Said Jabirakitoa nasaha kabla ya kupatikana kwa mshindi |
![]() |
Mgeni rasmi akimpa mkono mmoja wa majaji wa mashindano hayo Shekhe Abbas Mshauri |
![]() |
Mgeni rasmi akimpongeza mshindi wa kwanza wa kusoma na kuhifadhi Koran na Juzuu moja |
![]() |
![]() |
Mshereheshaji wa mashindano hayo Shekhe Ibrahimu Bombo akiwaongoza wasomaji na wahifadhi wa Koran |
![]() |
Mshindi wa kwanza wa kusoma Koran juzuu saba Abubakar Muharam akiwa na msahafu wake wa Digital Baadhi ya waumini na wanafunzi wa madrasa mbalimbali waliohudhuria mashindano ya kusoma Koran |
Post a Comment