Wanaume wawili nchini Kenya
wameibuka na mbinu isiyo ya kawaida ya kupata suluhu ya kupigania mwanamke
ambaye wote wanampenda Wamesaini mkataba wakikubaliana kuishi nae kwa zamu.
Silvester Mwendwa ni mmoja wa
wanaume hao anayeanza kwa kueleza kwa nini binafsi anamuhusudu mwanamke huyo.
Mmoja ya wa wanaume hao alisema haoni ubaya wowote kwa yeye na
Mmoja ya wa wanaume hao alisema haoni ubaya wowote kwa yeye na
mwenzake kumuoa mwanamke mmoja.
Amehoji sheria ya sasa inayoruhusu wanaume kuoa wanawake wengi na wakati huo huo kuharamisha mpango kama huo kwa kina mama.
Sylvester Mwendwa anasema wazazi wake wamekubali na mpango wake na wakotayari kumtolea mahari.
Wanaume hao wawili walikubali kumuoa mwanamke huyo baada ya kugundua kwamba kumbe wote wana uhusiano wa kimapenzi naye.
Na kumbe mwanamke huyo alikuwa ameahidiana na kila mmoja wao kwamba angelifunga nao ndoa bila ya wao kujuana.
Lakini walipogunduana , ilikuwa ni ugomvi wa mara kwa mara lakini mwanamke huyo alipoambiwa amchaguwe mnmoja wao alishindwa akisema anawapenda wote wawili.
Na baada ya hapo watatu hao waliafikiana kusaini mkataba ambao utaruhusu wanaume hao wawili kuishi na mwanamke huyo kama bwana na bibi ila kila mmoja wao atakuwa na wakati wake wa kwenda kumjulia hali.
Vile vile mkataba huo unawashurutisha kugawana majukumu yote ya nyumbani ikiwa ni pamoja na kuwalea watoto na kutowabagua kwa kuwa wote watakuwa na haki sawa.

Hata hivyo kwa mujibu wa sheria za
kenya ni haramu kwa mwanamke kuolewa na wanaume wawili na mkataba huo sasa
umeibua mjadala mkali wa kisheria, huku sheria mpya ya ndoa ikitarajiwa
kujadiliwa na kuidhinishwa bungeni.
Nchini Tanzania nako mwanamke mmoja
mkazi wa kijiji cha Ikandamoyo Sumbawanga Veronica Salehe(50)aliliripotiwa
kuishi na wanaume wawili zaidi ya miaka saba kwa wakati mmoja.
Mwanamke aliishi na wanaume hao
baada ya makubaliano baina yake na wanaume hao waliotambulika kwa majina ya
Paulo Sabuni(60) ambaye ndiye mume mkubwa na Arcado Mlele(45) mume mdogo.
Imeelezwa kuwa mwanamke huyo ndiye
alikuwa na amri kuu katika nyumba hiyo hata kufikiria kuwa yeye ndiye
aliyewaona wanaume hao.
Mwanamke huyo mwenye watoto wanne
wakiwemo watoto watatu wa kiume mkubwa akiwa na umri wa miaka 20 na binti
mwenye umri wa miaka 16 amekuwa akiwapangia zamu ya kulala waume zake.Inadaiwa
kuwa mume wa pili aliwahi kuwa na mke ambaye aliachana naye baada ya kuanza
mapenzi na mkewe wa sasa.(vyanzo..BBC SWAHILI/ Habarileo)
Ama kweli sijui twaenda wapi? Dunia imekwisha
ReplyDelete