Ads (728x90)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita, WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio, jana Machi 19, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto pamoja na IGP Said Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio, jana Machi 19, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita juzi, WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio, jana Machi 19, 2013. (PICHA NA IKULU)

Post a Comment