| NYUMBA YA GHOROFA 16 ILIYOKUWA IKIJENGWA KATIKA MAKUTANO YA BARABARA ZA INDIRA GHANDHI NA MOROGORO JIJINI DAR ES SALAAM IKIWA IMEANGUKA , WATU 60 WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI HIYO |
| BAADHI YA ASKARI NA WANANCHI WAKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO |
| GARI LIKIWA LIMEFUNIKWA NA MABAKI YA JENGO HILO BAADA YA JENGO LA GHROFA 16 KUANGUKA JIJINI DAR ES SALAAM. |
| KIBAO CHA MKANDARASI WA UJENZI WA JENGO HILO LILILOANGUKA JIJINI DAR |
Post a Comment