Ads (728x90)

MSAFARA UKO MITAANI


BAADHI YA MAGARI YALIYOKUWA YAKITUMIA BARABARA ZA JIJI SIKU HIYO YALILAZIMISHWA KUWEKWA PEMBENI KAMA INAVYOONEKANA KWA NIA TU YA KUYAPISHA MAGARI YALIYOKUWA YAKIONESHA SHOW YA MAPAMBANO DHIDI YA WAANDAMANAJI WALIOPANGA KUANDAMANA SIKU INAYOFUATA

ASKARI WA MAGEREZA NAO HAWAKUACHWA NYUMA WALIINGIZWA KATIKA MAANDALIZI KWA NIA YA KUONGEZA NGUVU


MAGARI YA ZIMAMOTO NAYO YALIKUWA KATIKA MSAFARA KUHAKIKISHA KUHAKIKISHA USALAMA IWAPO UTAZUKA MOTO KATIKA MAANDAMANO HAYO
MSAFARA WA MAGARI YA POLISI UKIENDELEA KURANDA MITAANI HAPA WALIKUWA MAENEO YA MBALIZI


POLISI KIKOSI CHA KARATE (WATU WA DOJO)NACHO KILIKUWA KATIKA MSAFARA


MSAFARA UNAKATISHA MITAA, KARANDINGA LANDROVER NA DEFENDER ZISIZOPUNGUA 20 ZILIKUWA ZIKIVINJARI MITAANI KUTISHIA MAANDAMANO YA WAFUASI WA CHADEMA YALIYOPANGWA KUFANYIKA SIKU INAYOFUATA


Post a Comment