Ads (728x90)

MTU ANAYEDAIWA KUWA NDIYE MUUAJI WA PADRE MUSHI AKIWA KATIKA MOJA YA MAKONGAMANO YA KUCHANGIA MAONI YA MAREKEBISHO YA KATIBA HUKO VISIWANI

PICHA YA KUCHORWA INAYODAIWA KUSHABIHIANA NA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRE MUSHI KAMA ILIVYOCHORWA NA MAKACHERO WA KIMAREKANI,PICHA HIYO IMEPATIIKANA BAADA YA MAHOJIANO NA WANANCHI WANAODAIWA KUMUONA MUUAJI HUYO JINSI ALIVYO.Post a Comment

  1. 'Yawezekana'kwani mtendaji ni mwanadamu, na yupo miongoni mwetu,...kama mshitumiwa wa uhalifu anahitaji kufika kwenye vyombo vya sheria na kuthibitishwa hivyo....sio kudhaniwa. Dhana hujenga chuki, na shetani akachukua mwanya huo kugomanisha

    ReplyDelete