Ads (728x90)Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla

 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Amos Makalla akiwa na Katibu Tawala wa mkoa Mariam Mtunguja
TANGAZO
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla anawatangazia wakazi wa mkoa wa Mbeya kuwa utaratibu aliojiwekea wa kukutana na wananchi kusikiliza kero zao uko pale pale.
UTARATIBU MAALUM WA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI UKO KAMA IFUATAVYO;
-Alhamisi ya wiki ya mwisho wa mwezi Julai atakutana na wananchi kuanzia saa 4:00 Asubuhi hadi saa 10:00 alasiri.
RATIBA YA MWEZI AGOSTI 2016
Atakutana na wananchi na kusikiliza kero za wananchi kuanzia Alhamisi ya wiki ya kwanza ya mwezi ambayo ni tarehe 4/8/2016 na wiki mwisho  ya mwezi Tarehe 28/8/2016;
Mikutano yote itafanyika Ukumbi wa Mkapa, Nyote mnakaribishwa.
Imetolewa na Amos Gabriel Makalla
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.

Post a Comment