Ads (728x90)Huduma mbalimbali za kijamii na mahitaji ya maji safi na salama ni moja kati ya mambo muhimu yanayohitajika katika jamii ya wananchi waishio vijijini, pichani ni baadhi ya wakazi wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wakiwa katika harakati mbalimbali za kujipatia huduma muhimu za kila siku kama vile Maji na nishati ya kuni kwa ajili ya kupikia.

Post a Comment