
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi katika kijiji cha Lufilyo wilayani Rungwe katika ziara yake ya mkoani Mbeya jana.
Burudika, Habarika, Elimika
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wananchi katika kijiji cha Lufilyo wilayani Rungwe katika ziara yake ya mkoani Mbeya jana.
Ziwa hili maarufu ambalo pia ni kivutio cha utalii lililopo kilomita kadhaa mashariki mwa wilaya ya Rungwe,linaelezwa na wenyeji wa eneo hil...
Baadhi ya Wabunge wa jamhuri la Muungano wanaowakilisha mkoa wa Mbeya kutoka kushoto ni Mbunge wa Kyela Dkt. Harrison Mwakyembe,Mbunge wa vi...
Umati wa wakazi wa kijiji cha Lufilyo nyumbani kwa Profesa Mark Mwandosya wakishangilia ujio wa Rais Jakaya Kikwete pichani katika ziara yak...
Huu ndio mpaka wa Tunduma unaotenganisha nchini mbili za Tanzania na Zambia, pilika za mji huu zinafanana kabisa na harakati za kila siku...
SMZ yadaiwa kupanga kuhujumu ushindi wa CUF -Yadaiwa safari hii mbinu imeelekezwa kuzuia uandikishaji daftari la kudumu Na,Rashid Mkwinda,Za...
Kila siku tunaamini safari ni safari, iwe kwa miguu, iwe kwa baiskeli, iwe kwa Vespa, iwe gari,Jahazi,Motaboti, mtumbwi, Meli, Gari, Ndege,...
Huyu ni Sambwee Shitambala wakili mahiri wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA naona sasa kumekucha hapa ni Kyela katika jimbo la Dkt...
DOSARI UANDIKISHWAJI VISIWANI NINI KIPO NYUMA YA PAZIA. Na, Rashid Mkwinda. ALFAJIRI ya Jumamosi Septemba 16 nilikuwa ni miongoni mwa ab...
Nikiwa katika mandhari tulivu yenye upepo mwanana wa katika Ufukwe wa bahari ya Hindi kisiwani Unguja.Unguja ni Njema Atakaye na Aje, Raaaah...
Ujenzi wa majumba haya maarufu katika mtaa wa Malindi na Mji Mkongwe visiwani yakiwa katika hali ya kuteteleka kutokana na uchakavu unaotoka...
Baadhi ya wakazi wa Visiwani Unguja wakiwa katika harakati zao za kila siku katika soko maarufu la Darajani mjini Unguja, hali hii ni ya kil...
Dada huyu mkazi wa Vwawa mjini Mbozi aliwaacha watu midomo wazi aliposafiri na kitimoto akiwa hai mgongoni ndani ya basi mithili ya mtu aliy...
Rais wa tano wa Marekani Bw.JAMES MONROE Rais wa Nne wa Marekani Bw.JAMES MADISON Rais wa Tatu wa Marekani Bw.THOMAS JEFFERSON Rais wa Nne w...
Rais wa sasa wa Malawi Bw. Bingu wa Mutharika ambaye ni rais wa tatu ambaye naye alimshinda Alhaji Muluzi katika uchaguzi wa kidemokrasia ch...
Hili ni fuvu la kichwa cha kiongozi wa wahehe Mtwa Mkwawa au Mkwavinyika kama walivyokuwa wakimuita wenyeji wa mji huo, kiongozi huyu wa wah...
Angalia unyama huu na unyanyasaji dhidi ya raia walio nchini mwao, ni askari wa Marekani enzi za utawala wa Rais Bush mara walipovamia nchin...
href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi5ZK-gg2Uy-tMubqMqtwuHxFJ7iCIcqf3nJxkWY0CS1PH6I5S_6TgedGtn-603xuVjKZF_...
Historia ya utawala wake iligubikwa utata ulioakisi imani yake ambayo ilikuwa ndani ya moyo wake hadi siku alipofariki dunia, hata hivyo hak...
Mkazi wa Wanging'ombe wilayani Njombe mkoani Iringa Festo Msigwa fundi mhunzi akifua vyuma kwa ajili ya kutengeneza vifaa vya chuma kam...
Hii ndiyo hali ilivyokuwa wakati wa utawala wa Sajent Samuel Doe nchini Liberia ambaye alitawala nchi hiyo kimabavu kuanzi mwaka 1980 hadi m...
Hawa ni watoto, wako kila mahali katika nchi yetu, wanahitaji matunzo wanahitaji maisha bora kama wale ambaio husoma nje ya nchi, wanahitaji...
''Wacha nikate kiu Bwana nani ananiona hapa kila mtu na time yake anafanya mambo yake ingekuwa kule uswahili nilikotokea du!!1 ingek...
BABA:Wanangu mwayaonaje maisha ya hapa White House ni yanaweza kufanana na maisha ya kule wanakoishi akina bibi zenu na baba mzaa mimi? kule...
Hebu jaribu kulinganisha maisha haya na yale ya mwaka 1970 kama ulikuwepo chini ya jua hili kule kijijini kwako, yana tofauti gani?kwa taari...
Rais Barack Husein Obama pichani akifurahia maisha na mbwa wake Ikulu ya White House, maisha anayoishi mbwa huyu ni bajeti ya nchi yetu kwa ...